KONA YA UTAMU: November 2016
Breaking News
Loading...

Wednesday, November 30, 2016

Hatua Za Kufanya Kama Mwanamke Hataki Kujibu Texts Zako

Unafukuzia mwanamke mzuri mnaanza kuzungumza. Mnachukua muda wa dakika 20 hadi 30 kuongea na yeye mara ya kwanza. Anapendeza na kuvutia, na unaona kama ni mwanamke ambaye ni yule aliyekuwa ndotoni mwako maishani mwako. Mazungumzo yenu yanaenda vizuri mpaka ukwamwomba namba yake.Baadaye unajaribu kumtumia text na hazijibu. Labda mnaeza kuchat kwa madakika halafu baada ya hapa anakataa kujibu...

Msaada jamani, Kwani ni lazima kumbebeleza mwanamke?

Kuanzia utotoni na hadi maisha ya shule nimekua katika hali ya kuyapeleka maswala yangu haraka haraka kadri ninavyotaka mimi. Katika style hiyo ya maisha imenipa faida na maendeleo mazuri. Lakini aina hiyo ya maisha sikuwahi kabisa kumshawishi mwanamke tukaingia naye mahusiano. Nilijaribu kuwashawishi lakini walikataa wengine waliniahidi ahadi hewa. Hali hiyo haikunishutua kabisa, wasichana walionindaganya na kunikataa niliwapuuza na kuwaona ni wajinga tu. Kwani mimi nilijiona ni mume mzuri wenye kila sifa. Na zaidi ya yote nilipohisi hali ya kufanya mapenzi nilienda kununua makahaba na kupiga masturbation. Kwa...

Nimetokea kumpenda sana hadi nashindwa kujicontrol

Wadau, Nina kadent kangu ka 1st yr chuo flani hivi, haka kabinti nina muda nako naeza kukadiria ka 3 yrs. Ofcuz kenyewe ndio kalifall in-love kipindi hiko mimi nipo college nilikua nakadharau. Sasa siku hizi kamekua M' SUPER ni kazuri kinyama. Wakuu naeza sema kataniua kwa presha, mzee nimekuja kujikuta nina malengo nako yale ya mbalii kichizi plus na kumpenda basi ni hatarii tupu. Somtimes naeza kukapigia simu nikakuta inatumika basi nitazila hapo, nitafikiria na mimi kulipiza kisasi cha kumpigia mtu mwingine maana najua katanicall back si nako kananipenda. Wazee kataniuaa haka katoto nikienda nako na speed hii...

Mimi black na mke wangu black mtoto kazaliwa na nywele za kiarabu

Nisaidieni wataalamu, Hii ni siku ya tatu toka mtoto huyu azaliwe na nywele za kiarabu, leo kaja mama mkwe wamemnyoa kabla ya siku saba, nipo kimya muda wote kwa kuwa mke wangu ni mfanyakazi hawajaniomba chochote, mama yangu mzazi kafika nimemchungulia dirishani naona anamkagua sana kwa siri vipi hakuna. DNA YA BEI RAHISI NIMALIZE FITINA. ...

Nioe yupi kati ya hawa? Nishaurini

Bila shaka wazima. Kijana wenu/mwenzenu nina tatizo moja sielewi nini cha kufanya Nilikuwa na mpenzi wangu mmoja tulipendana sana na bado nampenda sana na yeye namsifu anajua kuhandle penzi japo mapenzi yetu yameyumba kidogo kwa sasa. Matatizo kwa kipindi chote nilichokuwa nae kiukweli (on bed) hawezi kumudu goli tatu katika tendo la ndoa, goli moja tu hataki tena na nikifanya masihara naweza kumalizia na mkono (ny*to), siwezi kulaumu kama tatizo ni yeye au mimi nakawia ku-pees, alafu kuna style ninayoipenda ya kuchuma mboga ambayo niki apply hiyo angalau nawahi kukojoa japo yeye haipendi anadai inamuumiza kizazi. Navumilia...

Ukiona mwanaume ana vitabia hivi muepuke haraka sana

Habarini wapendwa,ukiona upo katika mahusiano na mwanaume mwenye vitabia kama hivi,anapenda sana kujikweza,muda wote anakuhisihisi kuwa unamsaliti kimbia ujue hiyo ndo tabia yake hivo anakuhisi na wewe,ana vijimanenomaneno vya kike,ukikaa nae anapenda kujadili watu flani kafanya hivi flani kafanya vile ujue sio,ukimkosea akikusamehe daily anakumbushia kosa ulilofanya,anapenda muda mwingi muwe...

Tuesday, November 29, 2016

Changamoto ya kuoa msichana mrembo sana wa kuvutia au mwenye akili sana asiyevutia

Wakuu sijui kama uzi huu umewahi kutolewa. Mara kadhaa naulizwa ushauri, inapotokea kijana wa kiume anataka kuoa kati ya msichana mrembo mwenye umbo la kuvutia sana, yaani ukitoka naye kila mwanaume atageuka kumtizama kwa kumhusudu. Ukimwona kavaa vizuri lazima usisimke mwili. Tatizo msichana mwenyewe kichwani ni mtupu sana. Mara nyingine anaongea mambo au kuuliza maswali utafikiri hajasoma,...

Ananiambia bikira yake imeyeyuka!

Salaam! Habari wana kona ya utamu poleni na majukumu, mimi ni kijana ambae nimepanga kuoa mapema mwakani ila leo mchumba wangu kanitumia ujumbe unaonivuruga akili, Kiukweli mimi na mchumba wangu hatujawahi kushiriki tendo la ndoa na alinihakikishia kuwa yeye ni bikra lakini leo kanitumia ujumbe ana wasiwasi kuwa bikra imetoka kutokana na kuhisi maumivu mara kwa mara na kazi ngumu anazofanya,...

Masharti Ya Kumtext Mwanamke - Makosa 5 Unayoyafanya

Kila siku mara moja au nyingine huwa tunawatext wanawake. Aidha wawe ni wapenzi wetu, tunaowatongoza ama marafiki zetu. Na kila siku huwa tunapatwa na changamoto mbalimbali kutokana na matangamano yetu. So huwa kunakosekana nini? Ifuatayo ni orodha ya mambo 5 makuu ambayo wanaume wengi hukosea wakati wanapomtext mwanamke, na jinsi ya kutatua. Zama nasi... #1 kukata tamaa mapema kwa mwanamke ...

Hatua 10 za kumchagua Mchumba

Wengi wamejikuta wakiitwa wahuni kutokana na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na makundi ya wanaume au wanawake. Hata hivyo wachunguzi wa masuala ya mapenzi wanasema idadi kubwa ya wapenzi si kigezo sahihi cha kupima tabia ya mtu na kumhusisha na uhuni.Watalaam hao wanataja safari ya kupata chaguo halisi la mwanaume/mwanamke wa maisha ndiyo inayowaponza wengi kiasi cha kujikuta wameingia katika...