Naitwa Fredy niko Dar, nina umri wa
miaka 29, elimu yangu Diploma. Natafuta mwanamke ambaye atakuwa mchumba
wangu halafu aje kuwa mke wangu. awe mweupe au maji ya kunde na asiwe
mwembamba wala mnene sana, awe mkristo na awe na elimu kuanzia ngazi ya
cheti na kuendelea, awe anaishi Dar na awe na umri wa miaka 20-25. Kwa
alie tayari anitafute kupitia 0758970798.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT