Habarini wapendwa,ukiona upo katika mahusiano na mwanaume mwenye vitabia
kama hivi,anapenda sana kujikweza,muda wote anakuhisihisi kuwa
unamsaliti kimbia ujue hiyo ndo tabia yake hivo anakuhisi na wewe,ana
vijimanenomaneno vya kike,ukikaa nae anapenda kujadili watu flani
kafanya hivi flani kafanya vile ujue sio,ukimkosea akikusamehe daily
anakumbushia kosa ulilofanya,anapenda muda mwingi muwe mnachati tu kama
hakuna majukumu mengine ya kufanya,mara kwa maraanauliza uliza sana
kuhusu ex boy wako the way alivokua anakufanyia mkiwa bed yani ujue
hajiamini then tangu uwe nae katika mahusiano hakuna siku ameongelea
kuhusu michakato ya kuzisaka pesa na kuongeza kipato yeye analalamika tu
kwamba maisha magumu pia ukiwa na man ambaye ukiwa na shida ya pesa
hajawai kutimizia yeye kila siku sina hela sina hela utafikiri ndo ubini
wake,mwanaume wa hivo muepuke kama ukoma sababu hafai kuwa nae katika
mahusiano sababu anakua amejaa ubinafsi,kutokujiamini ukiwa nae always
utapata vitu negative tu forget about positive.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT