KUWA TOFAUTI KATIKA MAHUSIANO YAKO KWA KUFANYA HAYA | KONA YA UTAMU
Breaking News
Loading...

Tuesday, November 22, 2016

KUWA TOFAUTI KATIKA MAHUSIANO YAKO KWA KUFANYA HAYA

https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcQ7h2LDNA8o3UOJkDfFi5yRN6Nj8mf96UOUZ80l-yTRoXiAAiqu 
Nimeona leo nije na mada fupi iliyonyooka, _sraight to the point,_ ili angalau upate pa kuanzia.

Katika ulimwengu wa _Dating_ na mahusiano, mara nyingi wanaume ndio tunajishusha sana na kufanya mambo kwa kuhofu _kuachwa_, we try too hard to _impress_ a lady na kujifanya tupo perfect.

Ni wakati tubadilike kwa kuwa more "NATURAL" na kufanya mambo yatakayokuongezea nafasi ya kumpata umpendaye kirahisi zaidi. Kuanzia muda huu jaribu kufanya hivi:

1. Mapenzi hayalazimishwi. Kama hakupendi, hauna haja ya kumng'ang'ania. Wapo wengi sana wanaokufaa.

2. Tafuta demu ambaye ulidhani huwezi kumpata kwasababu ya uzuri wake nk.
Huyu utafanya majaribio ya formula zetu hizi....

Kwanza muangalie alivyovaa, au anavyoongea au vyovyote alivyo. Hapo unatafuta pa kuanzia.

Ukishapata, tumia nafasi hiyo kujaribu kumtania, but kitofauti na ilivyozoeleka....
Mfano, ah sista fulani, leo naona umenoga, ungekuwa pilau, kisha jilambe ulimi πŸ˜‹ huku ukimuangalia machoni, then tikisa kichwa kwa masikitiko.....halafu ondoka!!🚢🏻

_Kumbuka, you have nothing to lose. Kwanza ulikuwa huna uhakika wa kumpata. Sasa unacheza na emotion zake._
_Unafanya mambo ambayo WANAUME WENGI HAWAYAFANYI, na hiki ndio kitU cha muhimu zaidi._
KUWA TOFAUTI!!!

Hapo utakuwa umemuachia maswali. Huyu jamaa ni nani? Mbona simuelewi?
Atatamani akufahamu zaidi, usimpe hiyo nafasi. Endelea na mambo yako.

Tena itakupasa kuwazoea mademu wengine wazuri na kupiga nao story ila yeye uwe kama unampotezea.
Atakuwa akijiuliza, una nini hasa special.
Usijali....

Next time, unnamuuliza swali ambalo lina maelezo marefu, mfano, _hivi unamuonaje Michelle Obama, yale mavazi anayotupia....hivi wanawake ndio wanapaswa kufanya vile eeh?_
Akijibu, endelea na maswali ya kutaka kujua zaidi na kumuacha aongee.

Nia hasa ni kumtaka "awe huru" , aongee zaidi na wewe kutafuta namna ya kumfanya aendelee kuongea na katika kila point anayosema, MFAGILIE kwamba, ana akili sana ya kuelezea mambo ( kumbuka mafala wote huwa wanamsifia kwa UZURI wake, na wao WANATAMBUA kuwa ni wazuri. So, utakachopaswa kufanya ni kusifia UWEZO wake mwingine ambao hauonekani kwa macho. Sifia akili yake, kujituma kwake BUT NEVER EVER EVER sifia UREMBO wake!! She KNOWS it, na mifala mingine huwa inasifia.

3. Kuwa usiyetabirika. Si lazima wewe uanze kumsalimia. Na usimpishe kiti au kufanya kila anachokuomba.

4. Jifunze kukataa ombi la demu mrembo. Hawajazoea kukataliwa.
So unapofanya hivyo, fanya kwa kujiamini BUT usiwe too arrogant. Kataa kishkaji, au yeyusha.
Unaweza kuahidi kufanya, BUT usifanye.

5. Ukikutana na mrembo ambaye unamtaka, usiogope kumuangalia USONI halafu TABASAMU then tikisa kichwa kama kuna kitu hibi umegundua...yaani kama umeshtukia kiwa anakupiga chabo...
Akicheka, mfuate, msalimie...then jitambulishe kwa kifupi sana....Hello, naitwa Fulani...i liked your smile...hapo ataanza kujichekesha weee kisa ana tabasamu zuri....na itakuwa bomba zaidi iwapo utaongea kwa kiswahili....( Jifunze kuongea sauti ya mahaba, itokee kifuani, ongea neno moja moja kwa kireeefu, sentensi ichukie muda mpaka kwisha...slowwwwly, na unaweka pozi kila neno unalotamka....na ikiwezekana mnonng'oneze sikioni kwa kibesi)😌
Hii unaweza kujaribu kwa demu yeyote hata uliyemzoea....mwambie tu, unapenda anavyotabasamu (ukiweza sikioni)...basi kila akikuona, atajichekesha siku nzima.....BUT REMEMBER, you are a playa, mazungumzo yakinoga tu, muage, ondoka....
Give her a gift of MISSING you!!!

Muachie hamu ya kutaka kukuona tena, na mkipanga kuonana.....MYEYUSHE, USIENDE KAMA MLIVYOKUBALIANA!!

6. Kama ilivyozoeleka, demu akikubali muonane mara ya kwanza huwa HAJI. So, na wewe ukiahidiwa mkutane sijui wapi kwa mara ya kwanza...USIENDE!!
So, sometimes, demu akitaka wewe ukutane naye au uende kwao, kubali, but USIENDE!!!
Hii itaonesha uume ( uanaume?) wako. Kwamba na wewe una mambo muhimu ya kufanya. Najua ni ngumu, but jaribu, utaniambia.
Na mtakapoonana, usijitetee sana. Mwambie ulipata dharura, but its ok, next time haitatokea, halafu mada kwisha. Akiendelea, mwambie aache kuharibu mood, anaanza kuboa, mshike bega muage tena, mwambie mtaonana siku hasira zimeisha...kiss her on the cheek, au mshika mkono, busu kiganja chake then ondoka...utampigia later BUT USIPIGE!!

Fanya hivi mara kadhaa, ili asiwe na uhakika utapiga saa ngapi na kutext saa ngapi.
 
Kuwa wa kwanza KUAGA na kukata simu wakati maongezi yamenoga!!!! Nitakupigia...but DONT!!!
  
 
 7. Chat za kisichana sasa basi. Zile za emoji za kuchekacheka na kulialia achana nazo.
Wao wanaandika sms fupi, sisi tunaandika ndeeefu tunajifanya tunajua...guys, STOP THAT SHIT!!!
Akiandika fupi, jibu fupi.
Akiandika ndefu, jibu fupi.
Hata sisi tuna haki ya kupendwa na kunyenyekewa.

8. Jiamini. Usifanye mambo kumfurahisha. Fanya kwasababu yanakufurahisha. Asipopenda, its up to her, na ikitokea ukajibiwa vibaya, cheka tu sababu wapo mademu wengine washavurugwa so it's none of your business, kwanza demu mwenye kisirani hana mpango!! Mpotezee!!

9. Haijalishi ukoje, mfupi, mnene, mwembamba, mweupe au mweusi, a man is just a man. Na hicho ndio kitu anachotaka mwanamke. Cha msingi kuwa MSAFI, JIPENDE, tupia pamba zako, Tembea kwa kujiamini, ongea taratibu kwa kujiamini( sio unaropokaropoka. Control your voice. O..n..g..e..a   k..w..a k..i..t..u..o huku unamuangalia usoni) , Jiheshimu na kuwa na misimamo. ATAKUPENDA!!!

10. Kwa kifupi, kama yote hayo ni magumu kufuata, try this:
Jaribu kuchunguza mwenendo wa demu wako uliye naye kama ana sifa za wale warembo wanaojaribu kukupelekesha.
Anza kufanya anayokufanyia....(But dont act like a bitch!!)
Kwasababu hayo anayofanya ndo yanakufanya uwe naye...yaani kama anakuyeyusha, na wewe myeyushe....anajibu kifupi, do the same. Anaaga sijui anaenda wapi, mruhusu aende....unataka mikasi anazengua, muelewe usikomalie....mpe feeling kuwa kuna mademu wengine wanaokutaka...sio umwambie hivyo, but usiwe desperate kukamalia akupe, jus never mind!!
Anza kuzoeana na wanawake wengine na kupaya uzoefu wa kujaribu kufanya tofauyi na vilivyozoeleka....

KWA KUFANYA HAYO YOTE utakuwa umejitengenezea MVUTO...ATTRACTION na ndio Bad Boy mwenyewe!! You do things YOUR way, na akikuzengua AENDE!!!
Nipe maoni yako, what do you think? Swali? Wazo? 

Karibu sana msomaji wangu kila siku upate mbinu mbali mbali za kukuondolea aibu katika mahusiano yako
Ukijenga utamaduni wa kutembelea mtandao huu kila siku muda si mrefu unakuwa tajiri wa mahaba pamoja na kuwa na mahusiano thabiti sana. Kazi kwako!
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT