November 29 2016 kupitia Leo Tena ya Clouds FM
Geah Habib ametuletea hekaheka ya mtu mwenye jinsia mbili na anaomba
msaada wa kuondoa moja, millardayo.com imekusogezea full stori.
Mtu huyo anasema toka akiwa mdogo
amekuwa akiishi maisha kama mwanaume lakini mama yake alimwambia aishi
kama mwanamke kutokana na hali za kike ambazo zilikuwa zikimtokea lakini
yeye anasema hapendi kuishi kama mwanamke………
>>>’Nakumbuka
nilishawahi kununuliwa gauni, ile gauni sikuivaa, baada ya mama
kunilazimisha niliichana, kuishi mazingira ya mwanamke siwezi napenda
kuwa mwanaume, nilishabahatika kuwa na mwanamke lakini sijawahi
kufanikisha kufanya nae tendo la ndoa’ Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT