Nna mchumba ambae kiukweli moyo wangu umelizia kumuoa.sasa kuna wakati
alikuwa akitoka chuo anaelekea nyumbani huko kanda ya ziwa.alifika
mwanza usiku wa nikamshauli aende kwa rafki yangu hapo mza alale kesho
yake aendelee na safari
hapo kwa rafki yangu kuna kijana wa mwenye nyumba ambae pia ni kama rafki yangu japo sio kivile. sasa mchumba wangu alipokelewa na mke wa rafki yangu na wakalala pale.kesho yake mke wa rafki yangu alimsihi abaki pale hivyo hakuondoka
kijana wa mwenye nyumba akatambulishwa kuwa huyu ni mchumba wa wa fulani yani jina langu...akachangamka akapewa no ya simu na mchumba wangu...
sasa ili kuuwa soo mchumba wangu alinipigia simu akaniambia jamaa huwa wanawasiliana nae ila akasema mazoe yamezidi na eti hamuelewi kwani huwa anamtumia vocha sana bila hata kumuomba...nilimjibu we acha anisadie matumizi ...nilisema hivyo nikiamini kuwa kwa kuwa ameniambia basi hakuna kitakachotokea
basi mchumba akawa ananipa ttatifa maendeleo mala oo kaninunulia kifulushi...mara leo katuma elfu 10 ...hapo nikaanza kishtuka...wakati huo nilikuwa niko chuoni so nilipomalza ilibdi niende pale kwa rafki yangu ....hapo sasa yule jamaa akanipa xm yake iikuwa ina tazo kidogo nimlekebishie...loo gafla nikaingia kwenye sms...sikuamini macho yangu...yani kuna pesa zinatumwa nyingi kuliko nazoambiwa...kamnunulia hadi smart phone .
kituko kilikuja nilipomsitopisha mawasiliano na yule jamaa....aliniambia si ulisema akusaidie matumizi!
ujumbe wangu kwa wanaume mchumba wako akikuambia kuna mtu ananitaka usizani hampendi....anakupiga changa la macho tu

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT