
Vijana wengi ambao wanapendana leo mapenzi yao hayadumu kiasi cha
kubatizwa jina la utamu wa bazoka. Lakini yote hii inatokana na ukweli
kwamba elimu ya mapenzi ambayo ni muhimu kwa binadamu haitolewi
ipasavyo.
Ipo zana potofu kwamba kumfundisha mtoto mapenzi ni kumharibu, jambo
ambalo si kweli bali inategemea mtoto huyo anafundishwa nini na kwa
wakati gani. Lakini cha kushangaza...