Tunatumia mtandao kila siku. Wengi wetu huchukua muda wao mwingi sana
kuingia online na kuchat na marafiki, kupata habari, kudownload, kusoma
udaku, kuangalia video nk.
Well, wengine huingia online kutafuta mitandao ambayo ni spesheli ya kutangamana na kutafuta wachumba. Uzuri wa kutafuta wachumba kupitia mitandao ya kijamii ni kuwa una nafasi kubwa zaidi kuchagua mchumba ambaye anatabia ambayo unazipenda.
Leo kwa haraka nimeamua kuorodhesha mitandao bora zaidi ambayo ina umaarufu zaidi barani Afrika.

Mitandao ya kutafuta wachumba
1. Zoosk
Huu
ni mtandao ambao wenyewe wanaupigia upato kuwa mtandao wa kutafuta
wachumba unaoongoza kwa umaarufu bara la Afrika. Mtandao huu unaruhusu
watumiaji kuweza kujamiiana na wenza katika mitaa unayoishi. Uzuri wa
mtandao huu ni kuwa unatumia mashine inayoitwa Behavioral Matchmaking™
wenye uwezo wa kutambua mchumba atakaye kufaa zaidi kwa kutumia profile
yako. Mtandao huu una watumiji zaidi ya milioni 25 duniani.
2. Tinder
Huu
mi mtandao spesheli wa kutumia kitumizi. Mtandao huu ni rahisi
kuutumia. Kile kinachohitajika hapa ni kusukuma upande wa kulia kupenda
picha ya mtu ama kusukuma upande wa kushoto kutakaa picha ya mtu. Iwapo
wewe na mwengine mumependezwa na picha zenu mtaorodheshwa kama wachumba
wa kifani.
3. Lovoo
Huu
ni mtandao ambao unauwezo wa kutafuta wachumba wanaoishi karibu na
wewe. Watumiaji wa mtandao huu ni milioni 12, Mtandao huu hutumia
teknolojia ya rada kuwatafuta wachumba walio karibu nawe.
4. Eskimi
Huu
ni mtandao maarufu ambao una uwezo wa kuunganisha marafiki zako wa
facebook ambao wako eskimi. Mtandao huu unakupa nafasi ya kuwaangalia na
kutafuta wachumba kulingana na nchi, mikoa na miji tofauti tofauti.
5. SpeedDate
Huu
ni mtandao unaokua kwa kasi zaidi. Ukiwa na watumiaji zaidi ya milioni
13, mtandao huu una uwezo wa kuwezesha kufanyika kwa deti kwa wakati
uliopo na pia kuchat papo kwa hapo.
6. BeNaughty
Huu
ni mtandao unaokuwezesha kutongoza, kujamiiana na kutangamana na
wengine ambao wako single. Mtandao huu una uwezo wa kuwaorodhesha
wanawake 100 wazuri zaidi hivyo kukupatia nafasi ya wewe kuchagua bila
tatizo.
7. Tagged
Huu
ni mtandao wenye watumiaji zaidi ya milioni 300. Mtandao huu unakupa
nafasi ya kukutana na kipenzi chako kupitia kwa michezo ambayo
inapatikana ndani yake.
Mtandao
huu ni maarufu zaidi nchini Liberia. Mtandao huu unakupa nafasi ya papo
kwa hapo kuweza kuchat na watumiaji ambao wako single.
9. AYI – Are You Interested?
Huu
ni mtandao wa watu wakubwa. Mtandao huu umeunganishwa na facebook
ambapo unaweza kuangalia picha, kuapload picha, kulike na kujua nani
yuko interested.
10. SayHi!
Huu
mtandao unadai kuwa na uwezo wa kuwaunganisha wachumba wapweke kupata
mapenzi, kuweza kutongoza, kuchat na pia kupata marafiki wapya. Jambo la
kipekee kwa mtandao huu ni kuwa mtumiaji anaweza kutafuta mchumba kwa
kuangalia ramani na pia kutafuta deti kwa sehemu za karibu unazoishi.
Pata mchumba, mpenzi! Click Hapa
Karibu sana msomaji wangu kila siku upate mbinu mbali mbali za kukuondolea aibu katika mahusiano yako. Ukijenga utamaduni wa kutembelea mtandao huu kila siku muda si mrefu unakuwa tajiri wa mahaba pamoja na kuwa na mahusiano thabiti sana. Kazi kwako!

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT