NICE GUYS vs BAD BOYS-Wajue wanaume | KONA YA UTAMU
Breaking News
Loading...

Thursday, December 1, 2016

NICE GUYS vs BAD BOYS-Wajue wanaume

Image result for NICE GUYS VS BAD BOYS Sijui Kswahili kizuri cha neno NICE GUYS ni Kijana Mtaratibu, mwema, Mpole ama la, ila kwa kifupi ni yule ambaye si BAD BOY( Bad Boy niki msema kama ni kijana mkorofi ama Mkatili nitakuwa nimemuonea sana, But tuseme ni yule   'Asiyejali hisia" za mwanamke wake....

Hapa neno "hisia" lina tafsiri tofauti kadiri tutakavyoona kwenye mijadala yetu....kwa sasa tuishie hapo....

NICE GUY, ama Good Boy ni yule ambaye "anakubalika".....anaruhusu demu aongoze maisha yake. Anakubali kila kitu demu wake anachotaka, au anachomuamuru akitarajia yote haya yatasababisha demu amkubali!!!😂

Mara nyingi watu hawa huwa wakipata mtoko mmoja na demu, "wakamtoa out" ( date ) wanashangaa demu hataki tena kutoka nae!

Huwa hawana misimamo. Demu akilalamika tu, wanataka wasaidie. Naumwa kichwa, anampa dawa....nimechoka, anampa lifti, wanaongozana kila mahali (na si kwasababu wanapendana sana, bali anaogopa anaweza kuzidiwa kete na mtu mwingine au demu tu akaamua kumtosa. Kwa kifupi, hajiamini!!)

Mijitu ya namna hii huwa inapigwa chini fasta!
Demu anakuona huna dili....
Huna misimamo....
Yaani kila wakati "unadekadeka"...yaaninunaufyata,
Kila kiu unachoambiwa, unafanya tu....yaani ni dhaifu. Huna maisha!!!
Yaani unaishi maisha ya kuigiza, maisha ya tamthilia!!!
Yaani kwamba, wewe ni kiumbe cha ajabu....haujui kukataaa....huna ratiba!!
Unachekacheka kimama, unajipendekeza, kwa kifupi unafanyafanya mambo ya kike ukitarajia mwanamke akupende!!!
Mwanamke kaumbwa kumpenda "mwanaume", hivyo basi, kwa kufanya kwako mambo ya "kike", kunakupunguzia point, unakosa MVUTO na kama wasemavyo wataalamu wa masuala ya mahusiano, MVUTO HAULAZIMISHWI, "ATTRACTION IS NOT A CHOICE" ( Ila tunaweza kukupa siri ya kujitengenezea Mvuto....fuatana nasi!)
Ni vitu gani ufanye sasa kubadili hali hii ya kuonekana huna dili na kuongeza mvuto?


SOMA: Hatua Za Kufanya Kama Mwanamke Hataki Kujibu Texts Zako

Fuatilia sehemu ya pili ya mjadala huu, kuhusu hasa kinachofanya BAD BOYS waonekane kuwa na mvuto kwa wanawake!

Kwa kukudokezea tu, kuanzia LEO hii, jaribu kuwa na ratiba za "mambo" yako....hata kama haupo busy....

Acha kupigapiga simu na kujibu msg.....na inapobidi, jibu kwa kifupi sana (kama anavyofanya yeye 😎) niulize nimejuaje kwamba anapoandika msg fupi, wewe unajifanya unajibu gazeti....STOP THAT BULLSHIT!!!
katika kila msg tatu, jibu moja....KWA KIFUPI!!!

_Na anapopiga simu, si lazima upokee kwa wakati....nyingine potezea....na unapopokea huna haja ya kujitetea...mpe sababu moja tu kwa kifupi kisha muendelee na mada._
_Ujifunze kusikiliza zaidi ya kuongea....dont be boring, mtanie kidogo na mazungumzo yakikolea, kuwa wa kwanza kukata simu ( hii mada ya simu, tutaiongelea siku nyingine!)_

Kanuni hizi ni kwa mademu bomba pekee....usijaribu kwa mapolipoli!!

Pata mchumba, mpenzi! Click Hapa

Karibu sana msomaji wangu kila siku upate mbinu mbali mbali za kukuondolea aibu katika mahusiano yako. Ukijenga utamaduni wa kutembelea mtandao huu kila siku muda si mrefu unakuwa tajiri wa mahaba pamoja na kuwa na mahusiano thabiti sana. Kazi kwako!
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT